VIDEO MPYA: Ludacris ft Ty Dolla $ign - Vitamin D

Baada ya kimya kidogo msanii Ludacris ambaye amekuwa akifanya zaidi filamu kwa siku za hivi karibuni zikiwemo zile maarufu za mfululizo wa FAST AND FURIOUS, kwa kushirikiana na Ty Dolla $ign ameachia video ya wimbo wa "Vitamin D."

Wimbo huu kama ukiusikiliza kwa umakini utagundua kuwa mdundo uliotumika kwa mbali unafanana na ule wa msanii Sisqo, itazame hapa chini:


Comments