VIDEO MPYA: Lord Eyes ft Jux - Hela Yangu

Msanii wa muziki wa Hip-Hop kutokea mkoani Arusha na aliyekuwa akiwakilisha kundi la WEUSI, Lord Eyes ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "Hela Yangu."

Ngoma hii ni ya kwanza kabisa akiwa chini ya usimamizi mpya wa lebo ya muziki ya BANA RECORDS iliyochini ya msanii Barakah Tha Prince. Wimbo ulifanywa na mtayarishaji Luffa akiwa Swithc Records huku video ikiongozwa na Adam Juma, itazame hapa chini; 


Comments