Mrembo Genevieve alishawahi kuwa Miss Tanzania mnamo mwaka 2010, naye ameamua kufuata nyayo za mamiss wengine kwa kugeukia tasnia ya muziki kama viel Klyn, Jokate, Lulu Diva, Bella na wengineo.
Tazama hapa chini video ya wimbo wake mpya wa "NANA" iliyotayarishwa katika studio za Switcher na mtayarishaji Luffa huku video ikiongozwa na Ivan:
Comments
Post a Comment