Huyu hapa ni msanii na mwandishi wa muziki wa bongo flava anayekwenda kwa jina la FOBY ambaye yupo chini ya mtayarishaji C9 Kanjenje kutokea studio za C9 Records, ameachia video ya wimbo wake mpya wa "ILA." Huu wimbo umefanyika visiwani Zanzibar na muongozaji HANSCANA.
Kama ulikuwa haujui FOBY anamchango mkubwa kwenye uandishi wa ngoma ya Dayna Nyange ya 'KOMELA' lakini jamaa akizungumza kwenye FNL ya EATV alisema kuwa hakupewa 'credit' zozote juu ya hilo.
Itazame video yake hapa chini:
Pia kama ulikuwa haujui ndiye aliyefanya ngoma hii ya "STAR" icheki pia hapa chini:
Comments
Post a Comment