Chris Brown ambaye kwa sasa ana-bang na shoo zake za "PARTY TOUR" sehemu mbalimbali za Marekani, ameachia video ya wimbo wake mpya wa "PRIVACY" ambayo imo kwenye albamu yake mpya inayokuja itakayokwenda kwa jina la "HEARTBREAK ON A FULL MOON," itazame hapa chini:
Comments
Post a Comment