MCHEKI HARMORAPA AKIJIITA YEYE NI 'SUPER WOMAN,' AKIJIFANYA HAMJUI MASTER J!!! GARI ANALOMILIKI .......


Ama kweli Harmorapa haishiwi vituko! Safari hii akaamua kumwaga ung'eng'e kwenye kipindi cha KIKAANGONI ambacho hurushwa na kituo cha luninga cha EATV kupitia ukurasa wao wa Facebook na kurushwa hewani.

Katika mahojiano hayo, akaja kuulizwa ajieleezee yeye ni mwanaume wa aina gani. Si unajua tena Harmorapa ni mtu mkubwa kwa sasa hapa Bongo, akaamua kutupia yai mule ndani, alichokiongea anajua yeye nini alimaanisha. Hebu msikilize hapa;



Hakuishia hapo, Harmorapa akaulizwa tena amejisikiaje baada ya maoni ya mtayarishaji mkongwe hapa nchini ambaye pia ni muasisi wa lebo hya muziki ya MJ Records, Master J, kwamba yeye si msanii, alifunguka vya kutosha. Mbali zaidi mzee huyo wa kiki aliendelea mbele kwa kumwagika juu ya mali anazozimiliki, mcheki hapa:




Comments