Kama wewe ni mpenzi wa muziki wa Hip-Hop basi majina ya wasanii Tupac na Biggie hayatokuwa mageni masikioni mwako.
Wasanii hawa ambao walipata kutamba kwenye anga ya muziki huo mnamo miaka ya 90, wote wawili historia zao ziliishia vibaya kwa kuuliwa kwa kupigwa risasi mwaka 1996 (Tupac) na 1997 (Biggie) huku bado waliosababisha vifo vyao bado ni kitendawili mpaka hii leo.
Cheki hapa kipande kifupi cha filamu iliyotengenezwa kuangazia maisha ya wasanii hao wawili hasa Tupac:
Comments
Post a Comment