Kundi la muziki wa bongo flava nchini Tanzania linaloundwa na wasanii ambao pia wana mahusiano ya kimapenzi, Aika na Nahreel, wametuletea video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la "Morning," kutokea kwenye albamu yao ya Above In Minute (AIM).
Katika video hii Navy Kenzo ndani yake wameanika wazi mahusiano yao ya kimapenzi ukiachana na muziki wanaoufanya kwa pamoja, itazame hapa:
Comments
Post a Comment