Msanii wa Marekani mwenye asili ya Cuba, Pitbull a.k.a Mr. Worldwide, amesafiri mpaka kwenye visiwa vya Carribean, nchini Jamaica na kufanya kolabo na mtoto wa aliyekuwa gwiji wa muziki wa rege hayati Bob Marley, kwenye nyimbo inayokwenda kwa jina la "Options."
Itazame hapa chini umuone Pitbull alivyobadilika kwenye uimbaji wake:
Comments
Post a Comment