Msanii wa kike kutoka nchini Kenya ambaye anafanya kazi zake chini ya lebo ya muziki ya Chocolate City ya nchini Nigeria ameachia video ya wimbo unaokwenda kwa jina la 'Lover' aliomshirikisha rapa Phyno kutoka Nigeria pia.
Karibu uitazame hapa chini:
Comments
Post a Comment