Ikiwa haijapita hata wiki moja tangu msanii kutoka nchini Nigeria anayefanya vizuri kwa sasa barani Afrika, Tekno kuachia video yake ya "Rara," ameachia tena wimbo mpya.
Video hiyo mpya aliyoiachia inakwenda kwa jina la "Yawa." Itazame hapa chini:
Comments
Post a Comment