Msanii wa Tanzania anayeishi na kufanyia shughuli zake nchini Afrika ya Kusini, M2the - P amekuwa na wimbo alioufanya kwenye studio za Mr. T Touch na video kufanywa na studio za Kwetu Studio chini ya muongozaji Msafiri "Travellah."
Kwenye wimbo huu ameshirikishwa msanii Mr. Blue:
Comments
Post a Comment