Ndani ya wiki chache msanii Vanessa Mdee ametudondoshea kolabo nyingine hii ya kimatifa na safari hii ni kushirikishwa kwenye mdundo uliotengenezwa na studio za Legendary Beatz.
Kama ulikuwa haufahamu studio hizi ndio zilizofanya hits kadhaa za wasanii wakubwa barani Afrika kama vile 'Ojuelegba' ya Wizkid.
Tazama video ya wimbo huo wa Vanessa Mdee unaokwenda kwa jina la 'Duasi' ambapo ndani yake yuko yeye mwenyewe tu huku mashairi anayoimba yakionekana kwenye skrini.
Comments
Post a Comment