Wiki moja baada ya kuachia wimbo mpya wa "The Heart Part 4" kutoka kwenye albamu yake ya tatu inayotarajiwa, msanii wa Hip-Hop kutokea nchini Marekani, Kendrick Lamar au "K. Dot" ameachia video mpya ya wimbo wa "HUMBLE."
Video hii imetayarishwa kwa ushirikiano wa Dave Meyers (Missy Elliott, Outkast) na The Little Homies, itazame hapa chini:
Comments
Post a Comment