Akiwa mbio kuzindua albamu yake ya 7 itakayokwenda kwa jina la "WOMAN" tarehe 31/03/2017, msanii mkongwe na anayefanya vizuri kwenye muziki wa bongo flava nchini Tanzania, Lady Jaydee ameshirikiana na kikundi cha muziki kutokea nchini Kenya, H_art The Band kwenye wimbo unaoitwa "Rosella."
Itazame hiyo video hapa chini:
Comments
Post a Comment