Msanii mwenye sauti na uwezo mkubwa wa kuimba nchini Tanzania, Mwasiti ametoa video ya wimbo wake wa 'Kaa Nao' iliyotengenezwa na mtayarishaji IVAN.
Katika video ya wimbo huu mtamu wa kusikiliza, Mwasiti ameifanya akiwa peke yake, sehemu kubwa anaonekana akiwa katika eneo kama nusu jangwa hivi na kwenye ufukwe wa bahari.
Ni wimbo mzuri wa kusikiliza na kutazama ulioimbwa kwa ufundi wa hali ya juu na mmojawapo wa wasanii wa kike wenye uwezo mkubwa wa kuimba Tanzania.
Karibu na wewe uitazame nimekuwekea hapa chini:
Comments
Post a Comment