SIKU YA WANAWAKE DUNIANI


Leo ni siku ya wanawake duniani, na mtandao wa blogu ya 'TrendIn255' ungependa kuwatakia wanawake wote Tanzania na duniani kwa ujumla sherehe zenye mafanikio katika kuadhimisha siku hii muhimu kwao.

Mchango wa mwanamke unatambulika na kuthaminika katika malezi ya jamii yanayojenga taifa lenye maadili mema.

#HappyInternationalWomen'sDay!
#KuwaJasiriKwaAjiliYaMabadiliko!


Comments