NICK CANNON APAGAWA NA "WEZERE" LA TRINA

Mchekeshaji na mtangazaji wa vipindi vya kwenye TV hususani kile maarufu cha "America Got Talent," Nick Cannon amejikuta akipagawa na "Wezere" ya mwanadada machachari kwenye muziki wa Hip-Hop nchini Marekani, Trina, kwenye kipindi cha "Wild N Out" kinachorushwa kwenye stesheni ya MTV BASE.

Cheki sehemu ya kipindi hicho kwenye video hapa chini:




Comments