MAN UTD YABANWA, HUKU SAMATTA APIGA MBILI EUROPA LEAGUE

Kombe la Europa League barani Ulaya liliendelea jana usiku kwa mechi kadhaa ambako Manchester United walibanwa mbavu na kulazimishwa sare ya magoli 1-1 na FC Rostov ya Urusi. Goli la Manchester lilifungwa na Henrik Mkhitaryan dakika ya 35 huku la Rostov likifungwa na Aleksandr Bukharov dakika ya Aleksandr Bukharov dakika ya 53.









Katika mchezo mwingine, Mtanzania Mbwana Alli Samata anayekipiga katika timu ya KRC Genk ya ligi kuu ya Ubelgiji alipachika magoli mawili kati ya 5 dhidi ya wapinzani wao wa ligi hiyo nchini, timu ya Gent. Samata aliyafunga magoli hayo dakika za 41 & 72.





Matokeo ya mechi zote za Europa ligi nimekuwekea hapa chini:









Comments