Ni habari nzuri kwa mashabiki wa muziki wa bongo flava hususani wa aliyekuwa msanii anayeunda kundi la Yamoto Band, Marombosso au 'Mbosso' baada ya kutambulishwa rasmi kuwa msanii mwingine anayeunda familia ya WCB Wasafi.
Hii hapa ni kazi yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la "WATAKUBALI," itazame hapa:
Comments
Post a Comment