VIDEO MPYA: MWANA FA FT MAUA SAMA - HATA SIELEWI

Mwana FA ameachia video ya wimbo wake mpya akiwa amemshirikisha Maua Sama. Nyimbo imetayarishwa na Hermy B huku video ikiongozwa na STUDIO SPACE PICTURES ya nchini Nigeria. Itazame hapa:


Comments