Kutokea WCB Wasafi, Queen Darleen ameamua kuwapa ukweli vidume wote kwamba yeye sio mtu wa mchezomchezo atawafilisi wakiingia kwenye anga zake. Tazama hapa video ya wimbo mpya ukienda kwa jina la "NTAKUFILISI" ujionee mwenyewe anavyowapiga 'masponsor.'
Comments
Post a Comment