MASTAA KIBAO KWENYE 'HESABU' YA NIKK WA PILI

Hivi karibuni Nikk wa Pili ameachia video ya wimbo wake wa 'HESABU' iliyotarishwa na S2kizzy ambaye naye pia ameshirikishwa ndani yake pamoja na Joh Makini huku video ikifanywa na Joowzey! Cha kuvutia kwenye video hii ni uwepo wa mastaa kibao wa muziki wa bongo flava kama vile Quick Rocka, Ben Pol na Feza Kessy huku mchekeshaji Ebitoke naye akiwemo. 

Itazame hapa video hiyo:


Comments