VIDEO MPYA: Frederic Gassita ft Vanessa Mdee - Imara

Vanessa Mdee kwa mara nyingine ameipeleka bendera ya Tanzania mpaka nchini Gabon ambapo ameshirikishwa na msanii maarufu wa muziki wa miondoko ya Jazz nchini humo, Frederic Gassita kwenye wimbo unaoitwa "IMARA."



Comments