Baadhi ya mashabiki wa iliyokuwa bendi ya muziki ya YAMOTO BAND kupata wasiwasi kwamba inawezekana kutengana kwao ndio unaweza kuwa mwisho wa msanii Enock Bela, amewathibitishia kwamba sio kweli na anaweza kusimama peke yake.
Hii hapa ni video ya wimbo wake mpya unaojuikana kama "SAUDA" ukiwa umetengenezwa na mtayarishaji Lizer kutokea studio za WCB Wasafi huku video ikiongozwa na Director Ivan:
Comments
Post a Comment