VIDEO MPYA: Vanessa Mdee ft Mr. P (P Square) - Kisela

Cash Madame, V Money au Vanessa Mdee kama anavyojulikana na mashabiki wake wengi wa muziki nchini Tanzania ameachia video ya wimbo wake mpya wa "Kisela" aliomshirikisha Mr. P wa P Square. Itazame hapa kwa mara ya kwanza:


Comments

Post a Comment