VIDEO MPYA: Young Dee - Kiutani Utani

Baada ya kufanya vizuri na ngoma ya Bongo Bahati Mbaya chini ya usimamizi wa mtayarishaji wa muziki Mr. T Touchez, Young Dee ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kama "Kiutani Utani" ikiwa imeongozwa na Kwetu Studios, itazame hapa:


Comments