VIDEO MPYA: Rick Ross ft Meek Mill & Anthony Hamilton - Lamborghini Doors

Kutokea katika albamu yake mpya ya "Rather You Than Me," Rick Ross ametuletea video ya wimbo mpya 'Lamborghini Doors' akiwa amewashirikisha Meek Mill na Anthony Hamilton. Itazame hapa kwa mara ya kwanza:


Comments