VIDEO MPYA: Patoranking ft Diamond Platnumz - Love You Die

Hii hapa ni kolabo nyingine kati ya Nigeria na Tanzania ambapo safari hii imewakutanisha Patoranking na Diamond Platnumz kwenye wimbo wa "Love You Die," itazame video hiyo mpya hapa:


Comments