DOGO JANJA AMEJIBU KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA IRENE UWOYA KWENYE VIDEO YAKE MPYA YA 'NGARENARO

Kumekuwa na uvumi unaondelea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba Dogo Janja anatoka kimapenzi na msanii wa filamu Irene Uwoya. 

Hayo yote ameamua kuyaweka wazi kwenye wimbo wake mpya wa "NGARENARO" ambao ni wa kwanza kutengenezwa kwenye studio ya Rayvanny wa WCB chini ya mtayarishaji Rash Don huku video ikifanywa na Msafiri wa Kwetu Studios.

Itazame kwa mara ya kwanza video hiyo hapa:




Comments