VIDEO MPYA: Dayna Nyange - Chovya

Baada ya kufanya poa sana na wimbo wake wa 'Komela' aliomshirikisha Billnas, Dayna Nyange ametuletea wimbo mpya unaokwenda kwa jina la "Chovya" uliotengenezwa na mtayarishaji Mr. T Touch kwenye studio zake za Touchez Sound huku video ikiongozwa na Msafiri Travellah wa Kwetu Studios, itazame hapa nimekuwekea:


Comments