VIDEO MPYA: Billnass - Sina Jambo

Hii hapa ni video ya nyimbo mpya ya Billnass "SINA JAMBO" iliyotengenezwa kwenye studio za MJ Records na Daxo Chali huku video ikifanyikia Afrika ya Kusini na kuongozwa na Msafiri Travellah wa Kwetu Studio.


Comments