VIDEO MPYA: Hussein Machozi - Nipe Sikuachi

Baada ya kuonekana kupitia mitandao ya kijamii akijivinjari nchini Italia, msanii Hussein Machozi ambaye amekuwa kimya kwa muda kidogo ameachia video ya wimbo wake mpya kutokea studio za Combination Sound chini ya Man Water inayokwenda kwa jina la "Nipe Sikuachi." Icheki hapa:


Comments