VIDEO MPYA: Lameck Ditto - Atabadilika

Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya 'Moyo Sukuma Damu,' siku za hivi karibuni Ditto ameachia video ya wimbo wake mpya wa "Atabadilika." Itazame hapa:


Comments