VIDEO MPYA: Moni Centrozone - Tunaishi nao

Moni wa Centrozone baada ya kufanya poa kwenye ngoma ya 'Usimsahau Mchizi' aliyoshirikiana na Roma Mkatoliki, ametuletea kichupa kipya kinachokwenda kwa jina la "Tunaishi nao," kitazame hapa kwa mara ya kwanza:


Comments