VIDEO MPYA: DJ Khaled ft Rihanna & Bryson Tiller - Wild Thoughts

Huu ni mwaka wa DJ Khaled kwa kuachia ngoma kali baada ya ngoma kali, hii hapa ni nyingine inayokwenda kwa "Wild Thoughts" kutoka kwenye albamu yake ya 'GRATEFUL' akiwa amewashirikisha Rihanna na Bryson Tiller, itazame hapa:


Comments