WIMBO MPYA: Nas & DJ Shadow - Systematic

Nas bado hajaacha kufanya muziki, na kama ulikuwa haujamsikia kwa siku nyingi, basi fanya kumsikiliza kwenye huu wimbo mpya hapa alioshirikiana na DJ Shadow ukienda kwa jina la "Systematic."


Comments