VIDEO MPYA: Sarkodie - Gboza April 18, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Tazama hapa video ya wimbo mpya wa msanii wa Hip-Hop kutokea nchini Ghana inayokwenda kwa jina la "Gboza," umaarufu wa msanii huyu ni kutokana na uwezo wake mkubwa wa kimuziki lakini cha kuvutia zaidi ni kwa kutumia lugha ya asili. Comments
Comments
Post a Comment