VIDEO MPYA: Azma ft Sugu,

Cheki hapa video ya wimbo mpya wa msanii Azma akiwa amewashirikisha Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu), Mbunge wa Mbeya Mjini, Izzo Bizness na Abela Music unaokwenda kwa jina la "GaraGasha."


Comments