HUYU NI MSANII MWINGINE KUTOKA LEBO ANAYOTOKA HARMORAPA

Inaonekana kama vile msanii Harmorapa amefungua milango kwa wasanii wa lebo ya muziki ya SGS SABUKA MUSIC iliyo chini ya Irene Sabuka, ambayo ndiyo kimsingi ndiyo imemtoa.

Kuna msanii mwingine kwenye lebo hiyo na hapo jana kupitia kipindi cha FNL kinachoruka kila siku ya Ijumaa kuanzia saa 3 mpaka 5 usiku alitambulishwa msanii mpya anayekwenda kwa jina la KILORITI na kutambulisha kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la "Competition".

Itazame hapa chini nimekuwekea ambapo ndani yake utamuona Amber Lulu kama video vixen:


Comments