MAUA SAMA AJA NA 'NAKUELEWA'

Maua Sama safari hii ametuletea video ya wimbo wake mpya aliofanya kwenye studio za Instincts Records chini ya mtayarishaji Abba Process, huku video ikiongozwa na Hanscana. Itazame hapa kwa mara ya kwanza:


Comments