JUX AJA NA 'FIMBO'

Mwaka unaendelea kuwa wenye ngoma na video kali kutoka kwa African Boy, Jux, hii hapa ni video yake mpya inayokwenda kwa jina la 'FIMBO.' Wimbo umetayarishwa na watayarishaji wawili, Abba na Maneck, huku video ikiongozwa na Hanscana kwenye mandhari nzuri kabisa ya hoteli ya kifahari na ufukweni, icheki hapa:




Comments