DAMIAN SOUL NAYE APAKAA NYWELE RANGI KWENYE 'DATA'

Kutokea studio za Switch Music Group chini ya utayarishaji wa S2kizzy, msanii Damian Soul ametuletea video yake mpya ya wimbo wa 'Data' ambayo ndani yake wameshirikishwa Quick Rocka au Switcher Baba pamoja na Nikki wa Pili.

Itazame hapa kwa mara ya kwanza video hiyo ambayo imeongozwa na Joowzey:


Comments