SHETTA KWENYE VIDEO MPYA YA OTILE BROWN

Msanii, mpiga gitaa na mwigizaji ambaye ni mzaliwa wa Mombasa nchini Kenya, Otile Brown amemshirikisha Shetta kwenye wimbo wake unaojulikana kama "TAMU SANA," itazame hapa video ya wimbo huo iliyoongozwa na Justin Campos:


Comments