Baada ya kuachia video ya wimbo wa 'Filthy' akiwa anajiandaa kuachia albamu yake inayokwenda kwa jina la 'Man of the Woods,'
Justin Timberlake ameachia video mpya ikiwa imeongozwa kwa ubunifu wa hali ya juu ambamo ndani yake anaonekana Pharell William, ikienda kwa jina la "Supplies," itazame hapa:
Comments
Post a Comment