VIDEO MPYA: Sauti Sol ft Patoranking - Melanin

Baada ya kushirikiana na wasanii kutokea WCB Wasafi nchini Tanzania, Diamond Platnumz na Rich Mavoko, msanii Patoranking kutokea nchini Nigeria ameshirikishwa tena na kundi la wasanii la Sauti Sol la nchini Kenya kwenye video ya wimbo mpya unaokwenda kwa jina la "MELANIN."

Itazame video hiyo kwa mara ya kwanza hapa:


Comments