Baada ya kufanya vizuri na ngoma ya 'Uongo na Umbea,' hii hapa ni 'banger' lingine lililopikwa na studio za Switch Music Group (SMG) na wasanii OMG wakiwa wamemshirikisha mtayarishaji wake pia 'S2kizzy' ngoma ikienda kwa jina la "SWING." Isikilize hapa:
Comments
Post a Comment