VIDEO MPYA: Noti Flow ft Prezzo - Tupendane

Katika kuhamasisha hali ya upendo na amani nchini Kenya hususani kipindi hiki cha uchaguzi, msanii Noti Flow amemshirikisha Prezzo kwenye wimbo wa "Tupandane," itazame hapa video yake:


Comments