VIDEO MPYA: Nasty C ft French Montana - Allow

Msanii wa miondoko ya Hip-Hop kutokea Afrika ya Kusini, Nasty C amemshirikisha msanii kutokea nchini Marekani lebo ya muziki ya Bad Boy Entertainment iliyo chini ya P Diddy, French Montana kwenye video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "Allow." Itazame video hiyo hapa:


Comments