Inaweza kuwa ni ukurasa mwingine wa wanamuziki waliokuwa wanaunda kundi la P Square ambao ni mapacha, Mr. P ameamua kutoa kazi yake peke yake na hii hapa ni video mpya ya wimbo wa "Cool It Down" akiwa amefanya peke yake. Itazame hapa kwa mara ya kwanza video ya wimbo huo:
Comments
Post a Comment